Vituko vya mochwari

Mi nimefanya kazi sana humo mortuary, na nilikuwa naweka bia zangu ndani ya Frigi za marehemu na zikipata ubaridi nakunywa taratiiiibu, ila kuna mademu bomba wanakufaga wanacheka, wakimleta bado wa motomoto dah! Ni shida!
Yana ukweli hayo?
 
Mi nimefanya kazi sana humo mortuary, na nilikuwa naweka bia zangu ndani ya Frigi za marehemu na zikipata ubaridi nakunywa taratiiiibu, ila kuna mademu bomba wanakufaga wanacheka, wakimleta bado wa motomoto dah! Ni shida!
Taratibu za kazi zinaruhusu kweli? Vipi na ile harufu ya maiti na yale madawa ya formaline? Kiuhalisia ni ngumu [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile.
hahaha hii imenifanya ni cheke,
btw pamoja na yote you have my respect nawaheshimu sana jamaa wanao au walio wahikufanya kazi humo sijui nisemaje bt mm huwa nawachukulia kama mashujaa wakipekee
zaidi ya ndugu damn i just cant find the right way to explain it bt nnaappreciate your sacrifice
 
[emoji15] [emoji120] [emoji122] [emoji322] [emoji323] [emoji115] [emoji111] [emoji111] [emoji817] [emoji817] [emoji817]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo hapa brother sema hizi mada zako nowdays zinanisahaulisha ile 15%HESLB
[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
thela avae mshana..kuna chuo cha kusomea uhudumu wa mochwariii???
 
@Mshana,eti kweli mtu akiwa anakata roho anaskia raha mara tatu zaidi ya kugegeda?
Eti anasikia raha hadi anakunya na kupiz? Ni kweli haya?
 
Mshana, I respect you much brother but this is not fair, [emoji21] no health personal who is allowed kutoa izo siri ikiwa za patient, client au hata deadbody, don't act like a kid brother u are grown up enough, don't do this please...[emoji120]
Sasa Mshana ana kosa gani?
Kukwambia,ukifa utakojoa kwenye kabati la maiti ndo unaogopa?
Hakuna maiti itakuja kumshtaki kwa kutoa siri zake,we lala acha woga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…