Vituko vya mochwari

Sikubaliani na Mshana, hakuna maiti inayofufuka, yani dactari amempima moyo umesimama, damu imeganda, ubongo umestop na viungo vyote havina mawasiliano, afufuke kweli? Hiyo nguvu ya kukukonyeza kunatoka wapi?
 
Mshana Jr zile chemical za kule mortuary hazina side effect kwa watu ambao wanafanya kazi mule kwa muda mrefu? Mana ukiwa around yale maeneo ile harufu sio poa
 
Mshana Jr zile chemical za kule mortuary hazina side effect kwa watu ambao wanafanya kazi mule kwa muda mrefu? Mana ukiwa around yale maeneo ile harufu sio poa
Tunavaa mask kwakuwa huwezi kuvumilia ile harufu shift nzima
 
Sikubaliani na Mshana, hakuna maiti inayofufuka, yani dactari amempima moyo umesimama, damu imeganda, ubongo umestop na viungo vyote havina mawasiliano, afufuke kweli? Hiyo nguvu ya kukukonyeza kunatoka wapi?
Uko sahihi lakini haiondoi ukweli wa hicho nilichoandika
 
Tunatahadhalishwa chumba chenye maiti usichukue kioo ukajiangalia,wanasema utakacho kiona usije kulaumu,

Hebu nisaidie kinachoonekana Ni Nini?
 
Tunatahadhalishwa chumba chenye maiti usichukue kioo ukajiangalia,wanasema utakacho kiona usije kulaumu,

Hebu nisaidie kinachoonekana Ni Nini?
Ni kweli kabisa kuna taswira hujitokeza ghafla na kupotea nyuma ama mbele yako! Sasa kwa mbele imeshakuwa kama ni kitu cha kawaida maana huwatokea wengi hata majumbani na mitaani.. Shida ya taswira za nyuma hasa mochwari ni za wafu halafu zinatisha sana na hujitokeza na nguvu fulani hivi
 
Amedhoofu kweli,
Au alizimia tu wakamweka huko.

Kwa waaminio inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…