Wadau Mimi nimfanyakazi Mke wangu nimfanyakazi wote tunapata Mshahara sawa!!Lakini pesa zangu ndizo zinafanya kila kitu ndani!!Yeye ukimwuliza anasema wewe sindo baba mwenye nyumba!!Yeye zake nikununua mahitaji yake binafsi!!Sasa na Mpango wakumwachisha kazi je nitakuwa nimemkosea??kwani sioni sababu ya yeye kufanya kazi!!

Usimwachishe.. Ukitaka usipate pressure, acha kuuliza uliza mapato ya mwanamke. ZAKO ZENU, ZAKE ZAKE.. Mtaishi kwa amani.. Kwani mshahar a wako hautoshi kulisha nyumba?
Utamwachshaje kazi? how? yani asomeshwe yeye na wazazi wake wewe uje umwachishe kazi lol? vunja ukimya kaka, ongea na mkeo.
Uki mwachisha kazi uwe tayari kumtimizia mahitaji yake yote... pamoja na ya kupaleka kwa serengetiboyWadau Mimi nimfanyakazi Mke wangu nimfanyakazi wote tunapata Mshahara sawa!!Lakini pesa zangu ndizo zinafanya kila kitu ndani!!Yeye ukimwuliza anasema wewe sindo baba mwenye nyumba!!Yeye zake nikununua mahitaji yake binafsi!!Sasa na Mpango wakumwachisha kazi je nitakuwa nimemkosea??kwani sioni sababu ya yeye kufanya kazi!!
Uki mwachisha kazi uwe tayari kumtimizia mahitaji yake yote... pamoja na ya kupaleka kwa serengetiboy