Vituko vya Ol' Dirty Bastard

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
13,012
Reaction score
23,633
Hiphop junkies...you know the name.

Mwaka 97, Pras(Fugees. Remember them?) yuko Enterprise Studios(?) California anarekodi Ghetto Supastar. Outta no-where, ODB anazama Studio akidhani yupo kwenye studio aliyokuwa na session New York. Yaani jamaa yuko California, ila akili yake inamuambia yuko NYC, mihadarati noma sana.

Basi kina Pras wakawa wanamuelezea taratibu kwamba yuko Cali na si NYC, na pale studio Pras ndio ana session. Meanwhile, kwenye background Ghetto Superstar inaskika. ODB akaomba aiskie, sauti ikaongezwa, akaielewa na kuomba aingie. Pras akakubali ili jamaa asepe, akipanga kuifuta verse ya jamaa baadae. Bahati nzuri verse ikawa kali, na hivyo ndivyo mhuni akaingia kwenye ngoma.

ODB alifariki 2004. Rest in peace.

 
Jamaa alikuwa relatable ... Rapping style yako ni unique. R.I.P Ol Dirty Bastard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…