ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Kwa tiketi ya chama cha Republican, alitinga katika kinyang'anyiro cha nafsi ya juu kabisa ya uongozi wa Taifa kubwa duniani ambalo linaaminika kuwa na watu wenye uwezo wa hali ya juu "mukichwa" (makamu wa rais), Sarah Palin ambaye alipata kutumika kama Gavana wa jimbo la Alaska (2006 - 2009) kwa baadhi anaonekana kama ni mama "kilaza" mwenye uwezo kiduchu mno katika kichwa chake kwa kula "chabo" za kishule shule hata kwa maswali ya kawaida sana na huku akitaka asionekane upeo upo finyu mbele ya watu wake!.
Ingekuwa vipi kama Republican ingeukwaa urais wa Marekani 2008 nae ndo Makamu wa Rais???
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=syvBW6WVZEM&feature=related"]YouTube- What was written on Sarah Palin's hand? -Palin's 'cheat sheet' on hand[/ame]
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=eSc8uHSsIQo&feature=fvw"]YouTube- BREAKING: What Palin Wrote on her Hand[/ame]
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=KPQVt7687Cc&feature=related"]YouTube- 12 Things Sarah Palin Wrote on Her Hand (Doug's Dozen #30)[/ame]
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=tGJdYYTTv1c&NR=1&feature=fvwp"]http://www.youtube.com/watch?v=tGJdYYTTv1c&NR=1&feature=fvwp[/ame]