Na mimi nikawa nawaza kama wewe maana wa Ufaransa ndio kijebawajemeni hivi Ufaransa nayo ipo Africa ama mimi ndo sijaelewa post
Lakini kwa mujibu wa maelezo, mbona nahodha wa timu ya caen ya ufaransa ndio mkubwa[emoji41][emoji41]Nimecheka mpk mwanangu ana itumbulia macho
yani hapa mtoa mada naye kweli ametuchanganyaNa mimi nikawa nawaza kama wewe maana wa Ufaransa ndio kijeba
Huyo ni mfaransa mwenye asili ya Africa.Vituko vya Waafrika havijawahi kuisha kwenye soka.
Yaani shida sanaNgozi nyeusi sijui alituloga nani? Dah! Yani nimecheka mpaka nimetokwa na machozi.
Soma vizuri Mkuu,mi sijakuchanganya popoteyani hapa mtoa mada naye kweli ametuchanganya
Hiyo ni Timu mwalikwa Mkuuwajemeni hivi Ufaransa nayo ipo Africa ama mimi ndo sijaelewa post