Vituko vya tz: Waliofaulu warudia mitihani

Vituko vya tz: Waliofaulu warudia mitihani

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Hatimaye ile ahadi isiyo yakawaida ya Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Phillipo Mulugo,aliyoitoasiku ya kutangazwa kwa matokeo ya darasa la saba,imetimia.Wanafunzi wotewaliomaliza darasa la saba mwaka jana na kufaulu,huku Serikali ikijisifu kwakupanda ufaulu,wamerudia mitihani yao jana.

Taarifa nilizonazo zinaonyesha kuwa,mitihani hiyo ilifanywa kwa lugha ileile yaShule za Msingi ingawa imefanywa Sekondarini.Sasa,mitihani inalenga nini hasa?Watakaofeli watachukuliwa wamefeli mitihani ya Darasa la Saba? Watafanywa nini?Vituko juu ya vituko...
 
Back
Top Bottom