Vituko vya Uchaguzi

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Wadau leteni jokes hapa zilijitokeza katika mchakato mzima wa kampeni wakati tukielekea katika Uchaguzi mkuu..............I mean serious jokes:smile::smile::smile: na sio kampeni chafu:nono:! Lets bring humour to the tense moments we are experiensing!

Nawasilisha.:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Katika kura za maoni za CCM, nec ilimuondoa Bashe hali iliyozua mazungumzo haya:

Swali; Mbona mmemuondoa Bashe kwa kigezo cha kutokua raia wakati uhamiaji wamethibitisha yeye ni raia halali
Jibu; Uhamiaji hawana data za ukweli kama sisi na ni wababaishaji
Swali; Wazee wamesema kuwa MKULO si raia halali wa Tanzania, mnalizungumziaje hilo
Jibu: Hilo si kweli kwani Mkulo ni raia halali wa Tanzania hata uhamiaji wamemthibitisha

Kaaazi kweli lweli:biggrin1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…