Mtu wa Pwani JF-Expert Member Joined Dec 26, 2006 Posts 4,191 Reaction score 677 Dec 16, 2010 #1 jamaa kaamua kujinyofoa kwenye umoja wa sudan
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,956 Reaction score 5,149 Dec 16, 2010 #2 Mbona kasahau damu yake inayomwagika kila kukicha?
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Dec 16, 2010 #3 hii ndio nini?
kipipili JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 1,587 Reaction score 186 Dec 17, 2010 #4 Mokoyo said: hii ndio nini? Click to expand... mnamo januari 11 2011 wananchi wa sudan ya kusini watapiga kura (referendum) kuamua kama wajitenge na wenzao wa kaskazini au waendelee kuwa katika government of national unity (gonu)
Mokoyo said: hii ndio nini? Click to expand... mnamo januari 11 2011 wananchi wa sudan ya kusini watapiga kura (referendum) kuamua kama wajitenge na wenzao wa kaskazini au waendelee kuwa katika government of national unity (gonu)
Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 461 Dec 17, 2010 #5 WaZeni nao wajitambalie tu kwenye muungano tubaki na Bongo yetu.....
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,265 Reaction score 4,735 Dec 22, 2010 #6 Paka mweusi said: Mbona kasahau damu yake inayomwagika kila kukicha? Click to expand... akijinyofoa damu yake haitamwagika tena.
Paka mweusi said: Mbona kasahau damu yake inayomwagika kila kukicha? Click to expand... akijinyofoa damu yake haitamwagika tena.