Vituko vya walevi

Vituko vya walevi

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Niaje wadau,

Mara nyingi maji yakishakolea tunakuwaga na story za kuvutia, fix nk...baadhi yake, jamaa kapiga liquid karudi Home anaanza kumtongoza mke wake[emoji1787] wife akamtia vitasaa.

Vingine ongezeeni wana jamvi
 
Hiyo tisa kumi upo home unaamka badala ya kwenda chooni kumwaga kojo la mipombe wewe unasimama unaona kichwa cha ze wife ndiyo shimo lenyewe unaanza kumniminia mzee....!!
 
Hii inakuwa vita.
 
Pombe gani hizo unakunywa
Hiyo tisa kumi upo home unaamka badala ya kwenda chooni kumwaga kojo la mipombe wewe unasimama unaona kichwa cha ze wife ndiyo shimo lenyewe unaanza kumniminia mzee....!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom