Vituko vya wanaume wakati wa Kufanya Mapenzi !

Alikamuliwa juisi ya miwaaa woiiiiiiiiii wozeeewer

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gaiiiiii kwa hii picha niliyonayo hapa kichwani Mungu tu anisaidie itoke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naamini ledada mutu ya mungu
Utanioneapo kahuruma
Na mimi nipate wewe sheriiii tukatomboke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hery umenifurahisha sana asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku mwema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hery umenifurahisha sana asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku mwema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]
Ujue hii usiku mwema kama ya tano hivi
Huoni kama inatuambia kitu flani hivi kwamba tunaweza endekea ku chit chat chemba
 
Hahahahahaha vidonda vya tumbooo.....nimelala na lichupa la chai kila kitu njaa ikiuma usiku naamka nakula nalala...vinanisumbua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole sana aisee,niliwahi kuumwa tumbo nikavihisi ni hivyo vidonda basi nikapimwa vipimo lundo FBP,Ultra sound,Barium meal ila cha mwisho Endoscorpy ilibidi nikimbie maana nilitishiwa kuwa kinauma sana but nashukuru havikuwa vyenyewe maana lilipona na halijaniuma tena mwaka wa 6 huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante...na hongera kwa kweli vidonda tumboni vinasumbuaa vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…