Vituko vya wanaume wakati wa Kufanya Mapenzi !

namba yangu nimeona hapo

kwahiyo wewe mrs mchawi hujawahi kupata utamu uliyokamilika maana hizi kasoro....ok mchawi yupo namba ngapi hapo??
Hahahahha mchawi ndo anajua mahaba kuliko wote ndo maana nimetulia kwake angekuwa na kasoro wallah ningeshamkimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani siku tukingonoka wote utanifungulia uzi wangu mwenyewe!

Kwa kifupi najulikana kama mende wa chooni/safishasafisha

No signature!
 
Mshana jr njoo fasta, umekuja kuvuliwa nguo humu!
Huyu ndiye wa kumzaba vibao na makofi plus mangumi na siyo yule aliyehoji taaluma yako...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakati uliopita ndo story yangu inahusu umepanik comment tenaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh.! Katika uliowataja hapo nahisi na mimi ni mmoja wao maana kuna sehemu umenilenga kabisa.!
Tupia basi kapicha nikuone kama sio wewe niliyewahi kukutafuna kipindi nikiwa huko !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…