Vituko vya wanaume wakiwa makazini

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila wanaume bana daah kazi ipo. Yaani hufanya vitu vya ajabu hadi unashangaa, ndipo kale kamsemo kanakosema "Mwanaume ana umri wa miaka 22 anaonekana ana miaka 15 alafu anafanya matendo ya watoto wenye 12 years" kanathibitika. Nimecheka sana asee.

Wajinga wanatoboa bomu

 
Weka avatar ya kiume bwana
 
[emoji23][emoji16][emoji23] dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…