Habari wadau,
Nimeona watu wengi kwenye mtandao wanapenda onesha status zao za elimu. Je, ni sahihi au?
Maana najua mitandao inaleta dili nyingi za biashara na mengineyo.
Je, kujiweka status yako ya elimu kama una masters, PhD, CSP, CPA, Engineer ni sahihi hasa instagram?
Maana nimeona mdau comment kwenye page sehemu simjui na anajiita CPA John Mwakipesile.
Je, CPA nayo ni kama Engineer flani flani au kama Dr flani flani au Profesa flani flani.
Je, kina Dewji waliosoma Georgetown university na wengineo waliosoma IST na vyuo vya ukweli kama kina Awadh Lake oil, watoto wa Murzah oil, sumaria group, kina Ruge waliosoma California, kina Kelvin Twissa, etc wanakosea kutoweka status zao za elimu mitandaoni hasa instagram.