Vituko walivyofanya Yanga msimu wa 2020/21

Vituko walivyofanya Yanga msimu wa 2020/21

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Yanga Sc wanao julikana kama timu ya wananchi hasa pale wanapo kua hawako sawa kiuchumi kakini hua wa kimataifa mambo yanapo kua byeeeee..!!

Mashabiki wanachama na viongozi wa clabu hii yenye makazi yake eneo lisilo kauka maji na vyura wengi la Jangwani jijini Dar es salaam wamekua watu wasio ishiwa vituko kila iitwapo leo..

Kwenye uzi huu tutakua tunaweka na kujikumbusha vituko vyoote ambavyo Timu ya wananchi Yanga SC wame vifanya mitandaoni na maeneo mengine kwa msimu wa 2020 - 2021..View attachment 1862148View attachment 1862152
IMG-20210720-WA0084.jpg
View attachment 1862150View attachment 1862151View attachment 1862149
 
Bila kusahau kuwafunga paka fc....tuliwanyamazisha wazee wa kuingia na matokeo mfukoni.....
 
Mleta Uzi bwana!!! Kimeumana hukooo Barnabar na Manara wanaparurana hatariii. Wacha inyesheee.....tutaelewana tu Ni suala la muda
 
Back
Top Bottom