marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Tatizo gani mkuuUna tatizo mahali wewe! Siyo bure.
Yacouba ni mchezaji mzuri! Hivyo hilo gazeti lilikuwa sahihi. Kuhusu Sarpong, ni presha tu ya mashabiki na timu kuhitaji matokeo, ndiko kuliko mpoteza. Ila siyo mchezaji mbaya kivile.Tatizo gani mkuu
SawaTakataka huu uzi
Ujima [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wajeeeeee tuuWanakuja kumwaga povu la kimataifa.
[emoji16][emoji16][emoji16]mzee mpili fundi sanaBila kusahau kuwafunga paka fc....tuliwanyamazisha wazee wa kuingia na matokeo mfukoni.....