P paschal majune Member Joined Nov 11, 2015 Posts 43 Reaction score 1 Feb 23, 2016 #1 Macho yangu kila kope Lina kitundu kimoja. Nimeenda kwa dokta nimeambiwa ni vya kutolea machozi . Madokta je hili ni tatizo ?.
Macho yangu kila kope Lina kitundu kimoja. Nimeenda kwa dokta nimeambiwa ni vya kutolea machozi . Madokta je hili ni tatizo ?.
PesaNdogo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 1,994 Reaction score 1,291 Feb 24, 2016 #2 Ha ha ha ha ha haaa, labda madokta wameelewa
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,966 Feb 24, 2016 #3 Bila shaka vitakuwa vidonda hivyo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Feb 24, 2016 #4 paschal majune said: Macho yangu kila kope Lina kitundu kimoja. Nimeenda kwa dokta nimeambiwa ni vya kutolea machozi . Madokta je hili ni tatizo ?. Click to expand... Mbona ni kitu cha kawaida sana hicho? Umesoma biology?
paschal majune said: Macho yangu kila kope Lina kitundu kimoja. Nimeenda kwa dokta nimeambiwa ni vya kutolea machozi . Madokta je hili ni tatizo ?. Click to expand... Mbona ni kitu cha kawaida sana hicho? Umesoma biology?