Habari wakuu
Nahitaji kuanza biashara ya vitunguu maji... nianzie wapi..?
Naweza kuchukua mkoa wowote wenye zao hili na nikapeleka mkoa wwt ule wenye uhitaji. muhimu ipatikane riziki tuu...
0654567777

Nenda bonde la mang'ola arusha... Nenda Raha mbuyun iringa.. Nenda lumuma Dodoma... Nenda singida mkalama... Huko ndo wazalishaji wa kubwa wa vitunguu tz