Nina wazo la kuilima vitunguu maji, nipo kanda ya ziwa (ng'wanza), nina wazo la kulima vitunguu maeneo ya Magu karibu na mto simiyu, changamoto ninayoiona ni usitawi wa zoa hili katika eneo hili kwa sababu udongo wa pale ni mfinyanzi(mbuga) ambayo hupasuka akati wa ukame. Naomba ushauri nifanyeje kurutubisha udongo ule