shkamoo, ninge kushauri utafute wateja kwanza. hangaikia kujua ni nani anahitaji vitunguu na mawasiliano yake harafu mnaelewana bei. zungumza na wateja kadhaa ndio ulete mzigo. wanatabia ya kujipangia bei kwakuwa wanajua hauto weza kurudi na mzigo. pia unapo panga bei lenga kupata faida sio faida ilyo kufuru, usiache kuchukua mawasiliano ya wateja wako. kuwa mcheshi na mkarimu itawajengea kuji heshimu. harafu unaweza kutupatia taarifa za kilimo chako kama kinafanyika wapi, ukubwa gani, kiasi cha mazao, Yako na bei. nashukurunaomba ushauri wenu jinsi ya kukabiliana na wezi ktk masoko ya dar pale unapoleta vitunguu sokoni bei wanapanga wao
dada, shkamoo, mimi nipo dar. nimetumia jamii form nimepata wateja wa sungura. nitakutafutia wateja kwa kadri ya uwezo wangu lakini naomba uni pm nipate namba yako nahitaji unipe maelezo kuhusu maeneo ya kufanya kilimo hiki mwakani ninaweza kujiunga na ujasiliamal wa kilimo hikiNashukuru Sana Ndugu. Nimekuwa Nikiangaika Kutafuta Wateja Bado Sijafanikisha Sana Hadi Sasa Nimempata Mmoja. Je Kama Unaweza Kuniunganisha Na Wateja Ikiwa Unawafahamu Nitafurahi Zaidi.
Asante Mkuu Kwa Ukarimu Wako. Aina Za Vitunguu Red Creoles Ambovyo ni Vikubwa2 Na Size Ya Kati. Ninagunia 90 Kutoka Ruaha Mbuyuni. Mimi Silimi Bali Naingia Kwenye Business Hii Kwa Mara Ya Kwanza Kwa Kukusanya Kutoka Kwa Wakulima Na Kwenda Kuuza Kwa Bei Ya Jumla Dar. Nimeanza Ruaha Mbuyuni, Nitaenda Singida Na Hata Ilula Iringa Na Sehemu Zinginezo. Nimejipanga Kwa Atleast Kila Wiki Niingize Mzigo Dar Kama Nitapata Network Nzuri. Kama Kuna Uwezekano Unaomba Nisaidie Kujenga Network
Kweli kilimo cha kitunguu ni kizuri na mkomboz mkubwa. Binafsi nafanya biashara ya vitunguu kwa kulima na kununua kwa wakulima pia, ko kwa mwezi naingiza fuso tatu za gunia 90 (90*3=180). Soko langu kuu ni kkoo na hiyo ni kutokana na kwamba wafanya biashara wengi ni waoga kununua mzigo moja kwa moja toka kwa mfanyabishara na wanaamua kununua toka kwa dalali kwasababu wanakua safe incase bidhaa ikiwa sio nzuri wanarejesha. Kweli biashara ya kutua kariakoo mzigo ni kikwazo sana kwasababu sometimes unaweza kutana na bei nzur au bei ya kawaida lakin siku zote bei za kkoo zinategemea na bei za mzigoo shambani. Pia ili kupata faida wateja wengi wanaangaalia vitunguu vimetokea mkoa gan kwasababu kila mkoa vitunguu vyake vina bei tofauti. Ushauri wangu ni huu:
Tafuta wateja wako wa direct ambao utakua na uhakika wa kuwashushia gunia 20 hata kwa kila mzigo unaoleta mjini, ila pia peleka kkoo kwasbabu lile ndo soko kuu na kutokana na mfumo wa kibiashara uliotengenezwa ni lazima ukauzie katika masoko makubwa ili uweze kupiga hatua.
Nakwambia haya kwasababu me nafanya hii biashara na huu ni mwaka wa tatu na imeleta mabadiliko makubwa sana ndan ya maisha yangu. Kuwa makini tu na madalali matapeli. Ahsante
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Kweli kilimo cha kitunguu ni kizuri na mkomboz mkubwa. Binafsi nafanya biashara ya vitunguu kwa kulima na kununua kwa wakulima pia, Soko langu kuu ni kkoo, kwa Kweli biashara ya kutua kariakoo mzigo ni kikwazo sana kwasababu sometimes unaweza kutana na bei nzur au bei ya kawaida lakin siku zote bei za kkoo zinategemea na bei za mzigoo shambani. Pia ili kupata faida wateja wengi wanaangaalia vitunguu vimetokea mkoa gan kwasababu kila mkoa vitunguu vyake vina bei tofauti. Ushauri wangu ni huu:
Tafuta wateja wako wa direct ambao utakua na uhakika wa kuwashushia gunia 20 hata kwa kila mzigo unaoleta mjini, ila pia peleka kkoo kwasbabu lile ndo soko kuu na kutokana na mfumo wa kibiashara uliotengenezwa ni lazima ukauzie katika masoko makubwa ili uweze kupiga hatua.
Kuwa makini tu na madalali matapeli. Ahsante
Unawezaje kubaini madalali matapeli?
Nashukuru Sana Je Unaweza Niunganisha Na Baadhi Ya Wanunuaji Wa Jumla Unaowafahamu Ndugu? Iwe Soko La Kkoo Au Lolote Lile Namba Yangu Ni 0684061951