Vitunguu vs Viazi Ulaya

I mean Platozoom!
Tuwasiliane aisee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwa wale wadau waliopo iringa,bei ya gunia la vitunguu linaendaje kwa sasa? Je huu ni wakati mzuri wa kwenda kununua huko na kuja dar kuviuza?
 

Nataka nifanye majaribio kwenye sehemu ambayo haipo karibu na maji na wakazi wa eneo hilo hawana utamaduni sana wa kulima vitunguu mkoa wa pwani.
 
Ole Sabaya or sorry Sabayi ntamwaga updates worry not!
 

platozoom,

Sasa bro nikichimba kisima na mimi kwenye eneo langu huku pwani yakitoka maji ya chumvi yatafaa?
 
Kama unataka kulima Dodoma kuna maeneo ya Hombolo kuna mabwawa ya maji huitaji kuchimba kisima na sehemu hiyo ni maarufu kwa kilimo cha vitunguu
 
Kuna aina ya vitunguu vya red clear(clear sijui kama nimeandika sawasawa) ukiitumia hiyo unaweza kuifadhi vitunguu kwa muda mrefu baada ya mavuno kulinganisha na red bombay ambayo haiwezi huwezi kuifadhi vitunguu vyake kwa muda mrefu
 
Vp upatikanaji wake? Ya kukodi au kununua?
Nitakujulisha kwa undani zaidi kwani nategemea kwenda huko kwani nategemea kufanya hiki kilimo na nilipofatilia maeneo ya kilimo nilipata Dodoma na Ruaha mbuyuni njia ya kwenda Iringa mara baada ya kuvuka Morogoro.Ruaha nilishaenda huko kukodi shamba ni laki moja pia kuna Kilosa Morogoro huko ukiwa mwanakijiji wanakuuzia shamba elfu 50 kwa ekari na kukodisha ni laki moja
 

Poa ukipata taarifa zimwage humu zitasaidia watu wengi
 

mkuu salam sana,nimefatilia sana hii thread now iko kama ina-hang..mimi nina mpango wa kulima na nimeshanunua pump aina ya HONDA 3inches,sasa nataka kukuuliza, natumai kwa mwaka huu nimeshachelewa msimu sio??mimi nataka nijaribu kulima kwetu ifakara..i call it testing..nipe ushauri mkuu...aina za mbolea,wadudu wanaoshambulia na dawa zake,hpe march mwakani nitaanza hiki kilimo.pamoja.
 

Wewe mwenyewe utakuwa huko shamba au kuna mtu unamwachia akuangalizie?
 

Mkuu tunasubiri updates vp bado hujaenda tu?
 
Mkuu tunasubiri updates vp bado hujaenda tu?
Shuguri zinaanza mwezi wa nne kwa sababu kipindi hicho mvua zinakuwa zimekatika vitunguu haviitaji mambo mengi nashukuru kwa kunikumbusha pia kipindi hicho kikikaribia naomba mnikumbushe naweza kupitiwa
 
mimi ntaweka mtu shamba...ntakua naenda kipindi cha kupanda,kungolea na kuvuna.
Kwa mazao ya nafaka labda,lakini kama hayo ya horts yaliyotajwa hapo juu,hiyo itakula kwako unless huyo unayemwachia awe committed kama shamba lake na awe proactive kwenye matunzo,otherwise sikushauri.
 
Nina mpango wa kulima kimojawapo lengo ni kulima heka 3 cha msingi nahitaji kujua zao lenye faida zaidi ya lingine, changamoto zake, soko pia muda nitakao utumia tangu kupanda mpaka kuvuna
Utatengeneza soko stabilizer mwenyewe

Magufuli ni rais pekee ambaye licha ya Ukristu wake amefanikiwa kutengeneza urasimu serikalini kwa kuanzisha Tume pamoja sekta pendwa ya kujenga Tarura na kutengeneza ajira rukuki..





Uko mbele hata uwe na mawazo gani ya Job Creation andika tuu ukiona vipi tuma kwa makamu wa Rais kwa sababu huwezi kumfundisha mkristo kutengeneza kazi kwa sababu mtu akifa wanamuweka kwenye Jeneza..



Thamani ya mtu aliyekufa walikuwa hawaijui ni sawa na mchele, maharage, mihongo n.k ipo siku tutatengeneza jeneza lake aka kupack n.k



Pamoja na jeneza kuwekewa mauwa hizi ndiyo faida za mtu kufa:



1. Hupumui

2. Hufikirii hata ban/spam//Job Creation

3. Huendi kazini yaani kutembea

4. Hakuna ndoto maana watoto wanandoto

5. Hakuna kutafsiri ubaguzi

7. Hakuna kusafiri wala kuhudumia gari

8. Hupambanii sifa au uongozi

9. Huna interest

10. Hausomi Gazette, Vitabu n.k

11. Huna gharama za kodi ya nyumba, safari, nguo, kitanda, video au kingamuzi n.k



Kazi ya wakristu moja tu Jeneza na kupambania ideology yangu kwa sababu ya utakatifu tifu..



Hata hivyo zitakuwa mbinu za kupatia wanawake maana wstu kutokuwa na ajira fursa mwanamke leta K kazi fasta..



Kwa hisani ya watu wa marekani

HATA VIPI HATUJI KUWA PAMOJA

 
Dunia hadaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…