SHOSHOLOZA
Member
- Jun 28, 2012
- 39
- 2
Ndugu zangu niko Africa magharibi nchini Mali, nimeshangazwa na aina ya vitunguu vya huku ambavyo haviwashi, havina harufu kali na ni vikubwa, nawaza kuchukua mbegu kuleta tz. kwa wataalamu tafadhari nijulisheni kama aina hii ya mbegu ipo hata bongo. saidieni tafadhari.