Vitunguu vyeupe visivyo washa kwenye macho

SHOSHOLOZA

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
39
Reaction score
2
Ndugu zangu niko Africa magharibi nchini Mali, nimeshangazwa na aina ya vitunguu vya huku ambavyo haviwashi, havina harufu kali na ni vikubwa, nawaza kuchukua mbegu kuleta tz. kwa wataalamu tafadhari nijulisheni kama aina hii ya mbegu ipo hata bongo. saidieni tafadhari.
 
Mkuu kuwa mwangalifu wakati wa kuja na hzo mbegu wasije sema n madawa ya kuleva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…