kwa research ndogo nliofanya kila gari inafaa na wanashauri kutumia premium lakini sio kila gari inafaa kutumia unleaded. maana yake gari ambayo manufacturer ameshauri utumie unleaded ukitumia premium ni bora zaidi lakini gari ambayo wanarecommend premium unleaded ukitumia regular unleaded ni tatizoxMkuu mimi sijajua exactly ni vituo gani vinauza Premium. Ingawa baadhi ya vituo vya mafuta huwa wanakuwa wameandika wanauza premium. Nadhani mfano ni total kama sijakosea...
kwa research ndogo nliofanya kila gari inafaa na wanashauri kutumia premium lakini sio kila gari inafaa kutumia unleaded. maana yake gari ambayo manufacturer ameshauri utumie unleaded ukitumia premium ni bora zaidi lakini gari ambayo wanarecommend premium unleaded ukitumia regular unleaded ni tatizox
Mimi sio Mtaalamu wa fuels lakini kwa Tanzania, mafuta yanayoingoza ni ya vituo vya Total, mafuta yao ni Total Exellium, yanafutiwa na vituo vya Puma wao wana unleaded na Engen wao wana premium.habari zenu wakuu!
nimekuwa nikifuatilia mjadala wa tofauti kati ya unleaded petrol na super/premium unleaded petrol nikagundua super unleaded ni nzuri kutumia kwa gari yoyote huku ikiwa na faida nyingi. naomba kufahamishwa kwa hapa tanzania ni kampuni gani au vituo vya mafuta vinauza hii super unleaded petrol.
nawasilisha