Vituo kuchagua watu wa kufanya nao kazi na wengine kuwatupa mnarudisha sanaa nyuma

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
356
Reaction score
377
Habari wadau..
Naamini media nyingi za tanzania zimegundua umuhimu wa diamnond kwenye tasnia ya habar hususan udaku udaku na mambo mengine..

Diamond ni brand kubwa saana ambaya kuipuuzia katika media hapa bongo ni kama kujikosesha umaarufu na attention ya vijana wengi wa kisasa..

Diamond anafatiliwa na vijana wengi sana especially wadada...

Na hivi sasa yuko peace na ma ex wake woote ambao alikuwa nao tofauti imemuongezea attention kubwa.. kina wema sepetu, kina hamisa mobeto, jojo nk..
Sasahiv mateam ya hawa madada wote wanamtazama mond..

Sasa clouds fm na vituo vingine ambavyo wanabeef na diamond naona kama hatu ule umaarufu wao sasa utahamia kwa wasafi tv..

Watu wanataka kumuona diamond, watu wanataka ksikia diamond..

Amin usiamin diamond kufungua hiyo wasafi tv na redio ni pigo kubwa sana kwa redio yetu pendwa clouds fm na clouds tv..

Kina soudy broun na kwisa mzee mti mkavu.. sasahivi diamond anavyo trend na wachumba zake mara muhindi kitandan mara hamisa mobeto mara kaachana na zari eti wamekaa kimya kisa hawataki kumpa mashavu mhhhh wasafi tv basi itawafunika vibaya some years to come..

Nilifikiri nyimbo za diamond hazichezwi tu peke yake lakin pia hata habari zake hakuna..

Hawa jamaa itabidi wajitathimin hatuish kwenye karne zaman..
Diamond ana fans wengi in and out of africa kwa hiyo unapo bana kaz zake na habari zake unawapa mwanya hata wale wasiosikika kusikika.. mfano mfupi tu alivyofanya interview na timez fm kwa lil ommy..

Watu weng walisikiliza na habari ika trend kias kwamba hata baadhi ya viongoz wakapata muda wa kuisikiliza kujua ile content..

Ushauri wangu mdogo tu... mtu akishakuwa mkubwa kwenye tasnia yetu ndan na nje ya africa bas beef zenu ziishie nje huko huko sio mpaka kwenye kazi..

Leo utakuwa na beef na diamond kesho na alikiba kesho kutwa na mtu mwingine.. wakati redio yako na tv ni vya entertainment ndugu zangu wanahabari kuweni na weledi bas mnaita professionalism..

Wapeni wapenz watazamaj na wapenz wasikilizaji mambo wanayotaka sio mnayotaka nyinyi..

Hii mambo ya kuchagua watu wa kufanya nao kazi na wengine kuwatupa mnarudisha sanaa nyuma hata media zenu watu watazichukia
 
Duh,sijui mnalipwa sh ngapi kwa kuandika habari kama hizi
 
Vichaa tuu wanao fuatilia mambo ya kijinga kama hayo
 
kwa hyo mtoa mada unataka utuaminishe kama cross cutting issues kwenye nchi yetu ni Diamond hakuna issues nyengine?
 
Ifike mahali mashabiki wa diamond acheni kulia lia!

Na kama hao clouds watashuka umaarufu Wewe ndio unaumia kuliko hao wamiliki waliofungia content zake?
 
kwa hyo mtoa mada unataka utuaminishe kama cross cutting issues kwenye nchi yetu ni Diamond hakuna issues nyengine?
Jiaminishe mwenyewe mi nimeandika na wewe unaweza kuandika yako...
 
Hao unaosema wapenzi watazamaji wataenda kuangalia hizo habar zake huko wasafi tv maana inaonekana unaumia kuliko hata aliyefungiwa na aliuefunga!
 
Ni brand kweli ila ana Tabia za kipumbavu. Ni sawa na mtu aliyesoma ila elimu haijamkomboa. Tabia zake za kujirekodi na wanawake kitandani inaonyesha ni wazi kichwa chake kimejaa upupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…