highway
Mmmhhhh ukitoka lushoto nitakupeleka ruddy's farm ukale minyama ya nguvu,mwambie Kongosho mje naye.Mkuu acha kbs pale HighWay.
Me wale Mbuzi wao tu, hoi yaani nalalwa kbs.
minyamanyama mipokopokomanjari plus michips,
Yahlaaaa nafwa mieeeeee.
una lako jambo wewe!Hiyo minyama isiyokuwa na mfupa huko ruddy's farm hata siitaki.
nyama ina mishipa kibao hata mfupa haina!!!!!
Raha ya nyama ukutane na mfupa.
upendejwe wewe,kama mkanda wa jeshi?Kila saa kunitaja taja, sura yenyewe kama zamadamu
Unaniharibia lunch yangu ujue
bamweleze mamito,halafu ni mguu wa kabebi.
chezeiya bishanga,ushawahi kuteguliwa kizazi?Akhu bibi weee,.
Unaweza ukawa mlaini lakini ukawa ni mfupi mno.
Raha yake upate ule wa Jang'ombe,
Uwe na mifupa afu uwe wa kukutoa meno.