Vituo maarufu kwa wasafiri wa mabasi...

Kama hujawahi kula nyama ya fisi, kunguru, mbwa mwitu basi fanya mpango wa kupitia Salanda hapo Singapore "Singida"
 
aiseeeeee babaangu kumbe mnafaidi mimi napanda meridian kutoka rombo kuja dar hatusimami popote zaidi ya mizani yani dereva anaweka jiwe kwenye ezireta mwendo mdundo mpaka ubungo
 
Ukitoka Arusha kwenda Musoma kuna sehemu huko mbugani panaitwa Seronera ni soo kwa nyama za kuku. Ukitoka Dar kwenda Moshi/ Arusha kuna Highway hotel ambayo kiukweli wanaelekea kuwafunika wale waarabu wa Liverpool kina Mohamed Ferej.
 
Mkuu acha kbs pale HighWay.
Me wale Mbuzi wao tu, hoi yaani nalalwa kbs.
minyamanyama mipokopokomanjari plus michips,
Yahlaaaa nafwa mieeeeee.

mkuu ni balaaaaaa pale minyama huwa nikisafiri tu A town au Moshi na waza highway tu hakuna safari na enjoy kama hiyo mkuu.
 
mie vituo najuaga ndege ikitua kia, then mwanza
 
aiseeeeee babaangu kumbe mnafaidi mimi napanda meridian kutoka rombo kuja dar hatusimami popote zaidi ya mizani yani dereva anaweka jiwe kwenye ezireta mwendo mdundo mpaka ubungo

Hahaha! anawajua warombo ni bahili
 
mkuu ni balaaaaaa pale minyama huwa nikisafiri tu A town au Moshi na waza highway tu hakuna safari na enjoy kama hiyo mkuu.

Santeeee,
Umenipandisha minyegge ya kula kyukyu.
 
Kvp,
chakula kitamu au chakula kibaya?

Pale kweli c pazuri! chakula kibaya, afu ni expensive..hata pale singida wakat wa kurudi kutoa mwanza..napo pako hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…