Misa ya pili
Member
- Mar 24, 2023
- 85
- 170
huzuni kubwa sana ,badala ya kujenga kwa mkupuo kwanini wasichangue baadhi ya halmashauri zenye uhitaji mkubwa na ujenzi ukawa chini ya wizara za afya kuliko kuwaachia hizi halmashauri zetu zilizojaa machangamoto ya upigajiHiyo sio tu kwenye zahanati, hadi hospital za halmashauri ndio mambo hayo hayo watu wanakula mishahara na kazi hakuna.. wakurugenzi wanafungua hospital hazina baadhi ya vitu muhimu... Kifupi walikurupuka hela zimekata na kazi hazijaisha, nchi yangu huzuni sana.
MakiniPeleka dawati la malalamiko
Kwahiyo unataka kuniambia mwaka huu watu wa afya wasahau kuhusu kuajiriwa? Maana kwa maelezo Yako inavyoonekana Kuna akiba ya kutosha ya watumishi wa afya kwasasa.Hiyo sio tu kwenye zahanati, hadi hospital za halmashauri ndio mambo hayo hayo watu wanakula mishahara na kazi hakuna.. wakurugenzi wanafungua hospital hazina baadhi ya vitu muhimu... Kifupi walikurupuka hela zimekata na kazi hazijaisha, nchi yangu huzuni sana.
sidhani kama anamaana hiyo swala la upungufu wa watumishi kwenye afya na elimu alijawai kutosha TZ kikubwa kuonesha ukubwa wa tatizo la kushindwa kukamilika kwa miradi ya afya katika halmashauri nyingi mpaka watumishi kukosa kazi kwakua hata hizo theater kwa ajiri operation bado azijakamilika na mengineyoKwahiyo unataka kuniambia mwaka huu watu wa afya wasahau kuhusu kuajiriwa? Maana kwa maelezo Yako inavyoonekana Kuna akiba ya kutosha ya watumishi wa afya kwasasa.
nimekujibu kwa weredi ila kama ulinikejeri basi sio muda huo hili ni swala la kujengaUnatakaje?
mamlaka husika katika ngazi zote yani wizara mpaka ngazi za chini kabisa kutekereza yale maono ya mh Rais vituo vikamilike vifaa tiba vipelekwe na vianze kutoa hudumaUnatakaje?
Hapana watumishi hawatoshi kabisa mkuu.. isipokuwa miondombinu bado haijakaa vizuri sehemu kubwa sana... Mfano kuna halmashauri ziliomba watumishi wa afya katika hospital za wilaya 200+ ila wamepewa 70+....Kwahiyo unataka kuniambia mwaka huu watu wa afya wasahau kuhusu kuajiriwa? Maana kwa maelezo Yako inavyoonekana Kuna akiba ya kutosha ya watumishi wa afya kwasasa.
Mfano kweli wangeangalia sehemu zenye uhitaji mkubwa mfano wilaya ya hai Kuna vituo vya afya karibu alafu wanaanzisha vituo vipya vya Nini na mahitaji siyo makubwa mfano Kuna kituo Cha afya masama na kirani vimeoishana urefu wa kilometa mbili kwenye kata Moja na kutoka kutoka kituo Cha masama wameanzisha kituo kingine Cha lemira umbali vimepishana kilometa Tano na kutoka hicho Lemira Kuna kituo Cha nkwansira ukiangalia upana na urefu wa hivyo vituo vyote vinne hakuna umbali wa kilometa Saba wakati Kuna kata yenye urefu wa kilometa 40 kituo kimoja yaani kutoka Kijiji Hadi kwenye kituo Cha afya mama mjauzito anatembe kilometa 20huzuni kubwa sana ,badala ya kujenga kwa mkupuo kwanini wasichangue baadhi ya halmashauri zenye uhitaji mkubwa na ujenzi ukawa chini ya wizara za afya kuliko kuwaachia hizi halmashauri zetu zilizojaa machangamoto ya upigaji
Mkuu Ni kweli kabisa kwa ramani ya hapo Hai unaijua vyemaMfano kweli wangeangalia sehemu zenye uhitaji mkubwa mfano wilaya ya hai Kuna vituo vya afya karibu alafu wanaanzisha vituo vipya vya Nini na mahitaji siyo makubwa mfano Kuna kituo Cha afya masama na kirani vimeoishana urefu wa kilometa mbili kwenye kata Moja na kutoka kutoka kituo Cha masama wameanzisha kituo kingine Cha lemira umbali vimepishana kilometa Tano na kutoka hicho Lemira Kuna kituo Cha nkwansira ukiangalia upana na urefu wa hivyo vituo vyote vinne hakuna umbali wa kilometa Saba wakati Kuna kata yenye urefu wa kilometa 40 kituo kimoja yaani kutoka Kijiji Hadi kwenye kituo Cha afya mama mjauzito anatembe kilometa 20
Hii ndio tatizo lililopo baadhi ya vituo vimerundikwa sehemu moja hadi watumishi wanakosa wa kuwahudumia na kwingine hakuna hata kimoja sijui vigezo gani viltumika.Wakati mwingine siasa zinaathiri sana maendeleo.Mfano kweli wangeangalia sehemu zenye uhitaji mkubwa mfano wilaya ya hai Kuna vituo vya afya karibu alafu wanaanzisha vituo vipya vya Nini na mahitaji siyo makubwa mfano Kuna kituo Cha afya masama na kirani vimeoishana urefu wa kilometa mbili kwenye kata Moja na kutoka kutoka kituo Cha masama wameanzisha kituo kingine Cha lemira umbali vimepishana kilometa Tano na kutoka hicho Lemira Kuna kituo Cha nkwansira ukiangalia upana na urefu wa hivyo vituo vyote vinne hakuna umbali wa kilometa Saba wakati Kuna kata yenye urefu wa kilometa 40 kituo kimoja yaani kutoka Kijiji Hadi kwenye kituo Cha afya mama mjauzito anatembe kilometa 20