huzuni kubwa sana ,badala ya kujenga kwa mkupuo kwanini wasichangue baadhi ya halmashauri zenye uhitaji mkubwa na ujenzi ukawa chini ya wizara za afya kuliko kuwaachia hizi halmashauri zetu zilizojaa machangamoto ya upigaji
Nadhani na baadhi ya zahanati zinapelekewa fedha ndogo kuliko uhitaji wake mfano hizi ramani wameleta bila kuzingatia eneo unakuta zahanati imejengwa kwenye kijiji chenye kaya 200 ila inaukubwa kama hospital alafu inapewa mil 50 ya kufanyia finish
huu ni ukweli usiopingika sasa kwanini tujenge zahanati nyingi kwa mkupuo kwanini kata moja tusijenge kituo cha afya kimoja kikakamilika kwa fedha yakutosha kuliko kata moja zahanati 2 unajenga na kituo cha afya 1 mwisho tunazalisha magofu