A
Anonymous
Guest
Tamisemi pamoja na Wizara ya Afya kuna tatizo sugu ambalo naona linatafuna halmashauri nyingi nchini ' KUTOKUKAMILIKA KWA VITUO VYA AFYA KWA WAKATI.
Mwaka jana mwezi wa 8 Mh Rais mama yetu mpendwa mama SAMIA SULUHU HASSAN alitangaza ajila kwa watumishi wa afya na walimu cha kushangaza sasa watumishi wa afya wengi wamelipoti vituo vya kazi bila kukuta vituo na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumishi kama vile
1. Kupangiwa vitu vingine na halmashauri ambavyo sio vile walivyopangiwa na wizara husika.
2. Kupangiwa vituo binafsi yani wanafanya kazi kwenye vituo sio vya serikali na wanalipwa na serikali.
3. Vituo mama walivyopangiwa kufanya kazi vikiwa avina majibu vitamilika lini mifano ipo
mfan halmashauri ya ifakara mji vituo vyote vya afya avijakamilika
Hitimisho; TAMISEMI NA wizara ya afya angalieni tatizo maana wananchi wanasubili huduma kwenye vituo vya afya taribani miaka 3 sasa tanga ujenzi uanze na watumishi mh RAIS amewaleta shinda iko wapi
waziri kairuki na mh ummy mwalimu