Namche Bazar
Senior Member
- Apr 8, 2019
- 116
- 176
Habari za usiku?
Kuna eneo langu la biashara katika mkoa Y.
Wiki jana maafisa kata na watendaji wengine wa wilaya wamekuja kuniomba watumie eneo langu na miundombinu yake kuandikishia wapiga kura halikadhalika kufanyia uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwakani.
Naomba kujua kwa mwenye uzoefu je huwa wanalipia au huwa inakuwaje na kama kuna malipo huwa ni kiasi gani?
Mm sina uzoefu sana na hivi vitu na nimeshindwa kuwauliza moja kwa moja zaidi ya kuwaambia wanipe muda nifikirie ombi lao.
Asanteni wote.