Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu.
Kwa Dar wapi kuna huduma za kufanya mitihani ya TOEFL..Nimepewa taarifa Udsm pale huduma hio haipatikani tena
Ahsante.
Nenda Mwalimu Nyerere Memorial Academy, kule Kigamboni (kama unataka iBT), kama unataka PBT nenda International School Moshi, kule Moshi.
Nenda kwenye tovuti ya TOEFL utapata taarifa za uhakika zaidi juu ya siku mitihani ifanyikapo: TOEFL: Home
Nenda UCC-UDSM
UCC hawafanyi siku izi.