Vituo vya kufanya TOEFL kwa Tanzania haswa Dar

Qifrishy

Senior Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
169
Reaction score
42
Habari wakuu.
Kwa Dar wapi kuna huduma za kufanya mitihani ya TOEFL..Nimepewa taarifa Udsm pale huduma hio haipatikani tena

Ahsante.
 
Nenda Mwalimu Nyerere Memorial Academy, kule Kigamboni (kama unataka iBT), kama unataka PBT nenda International School Moshi, kule Moshi.

Nenda kwenye tovuti ya TOEFL utapata taarifa za uhakika zaidi juu ya siku mitihani ifanyikapo: TOEFL: Home
 
Duh! Hivi TOEFL bado ipo?

Nakumbuka zamani ilikuwa ikifanyika pale Agha Khan Mzizima Secondary School.
 
Nenda Mwalimu Nyerere Memorial Academy, kule Kigamboni (kama unataka iBT), kama unataka PBT nenda International School Moshi, kule Moshi.

Nenda kwenye tovuti ya TOEFL utapata taarifa za uhakika zaidi juu ya siku mitihani ifanyikapo: TOEFL: Home

Shukrani sana.
 
Nenda GoldenTulip au TanSom Mbezi Beach. Udsm na Mwl. Nyerere ni Centers za kufanya mtihani tu, hao jamaa ndo Mawakala na wanatoa training. Hivi vitu viko wazi sana ila sijui watu ni wabinafsi sana kushare au hawajui?! More info just go to this web www.ets.org
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…