Pia Tanesco mkataba wa Luku vending stations hawauelewi ngawa wameutoa wao. Mfano kuna kipengele kinasema hivi katika huo mkataba (nilipata bahati ya kuusoma huo mkataba) "The agent shall replenish LUKU units in the vending machine when the value of outstanding is 1/4 of total units purchased" Sasa huyu agent akienda Tanesco kuongeza kiasi kilicho pungua ambacho ni less than 10m, Tanesco hawakubali, wanakulazimisha to deposit 10m. inakuwa kama vile either lugha iliotumika kwenye mkataba hawaielewi au wanafanya kama vile Tanesco ni ya wajomba zao! Hii ndio mmoja ya sabau kuu vituo vya Luku kutokuwa na huduma wakati wote. sana sana mikoani.