Kitaitwa Ally Hassan Mwinyi-Manzese.Unamwambia mgeni Panda daladala shukia Manzese.
Yeye ubishi anapanda Mwendokasi.
Anafika Manzese kale kadada kwenye spika za Mwendokasi
"kituo kinachofuata ni Ally Hassan Mwinyi"
Ye anakausha..
Anajikuta yupo Kivukoni..
Hyaaaa...vituo vibaki na uhalisia wake. Nashukia Samia miyeee..Unamwambia mgeni Panda daladala shukia Manzese.
Yeye ubishi anapanda Mwendokasi.
Anafika Manzese kale kadada kwenye spika za Mwendokasi
"kituo kinachofuata ni Ally Hassan Mwinyi"
Ye anakausha..
Anajikuta yupo Kivukoni..