Vituo vya Mafuta havijashusha Bei

Vituo vya Mafuta havijashusha Bei

Kwenye kupandisha wanapandisha chap kwa haraka,kushusha sasa ndiyo mtihani

Ova
 
Kuna shida gani?

Maana vituo vya Mafuta vunauza Bei ya Zamani.

Kuna mgomo?
Jana watu walijua mafuta yatashuka, so hakukuwa na papara ya kujaza matanki ya magari ambalo ni pigo kubwa kwa hawa jamaa, mwezi uliopita baada ya kujua mafuta yatapanda wakagoma hata kufunga vituo wakisubiri saa sita ,hivyo acha na wao ile kwao.
 
Kweli ushukaji wa Hio Bei hakumsaidii mwananchi wa kawaida. Nauli zitabakia hapo hapo.
Pia zitamnufaisha wafanyabiashara coz Bei zao kimantik zipo palë palë na faida palë palë.
 
Back
Top Bottom