Vituo vya mafuta vinajengwa kiholela sana, hasa kwenye makazi ya watu

Vituo vya mafuta vinajengwa kiholela sana, hasa kwenye makazi ya watu

Hivyo vituo vya mafuta vyenye majina yasiyoeleweka vinamilikiwa na mawaziri na baadhi Yao tunawajua Kwa majina Yao na vituo vyao...
Wabongo Kama tungekuwa na elimu ndogo juu ya hivi vituo vya kifala vya kuuza mafuta tusingetumia hayo mafuta machafu.

Shida IPO kwetu watumiaji tunaweka Tu mafuta ilimradi pameandikwa petrol, Tanzania tuna vituo vichache Sana wanauza mafuta mazuri
 
Tusubiri kimoja kije kilipuke na kuleta maafa ili serikali ionyeshe jinsi gani inajali wananchi wake
 
Tanzania kila kilichojengwa, kimejengwa kiholela..
 
Back
Top Bottom