Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujua sehemu ambayo mafunzo ya ujasiriamali yanatolewa.
Naomba kujua sehemu ambayo mafunzo ya ujasiriamali yanatolewa.
watafute ujasiriamali kwanza mara nyingi hujitangaza kulpitia redio praise power na wapo fm utajua wako sehemu hipi
Mkuu..Mkuu hakunaga mafunzo ya Ujasirimali na Ujasirimali haufundishwi kinacho fundishwa ni elimu ya biashara, au ujuzi wa kutengeneza kitu fulani, Ila ujasirimali kama ujasirimali haufundishwi na si Tanzazni tu bali ni Dunia nzima.
Mkuu..
Nakumbuka niliwahi fundishwa course ya entrepreneurship kipindi niko chuo, ulivyoandika hiki kitu umenishtua sana. Au entreprenourship sio ujasiriamali? sababu ilikua ni course tena ina unit 2. Semester nzima tulisoma na kufanyia UE.
Mkuu hata mimi nimeisoma yaani nimesoma miaka 3, ila ukweli ni kwamba Ujasirimali haufundishwi, na wewe unaweza ukawa shihidi baada ya kusoma je uliweza kubadili fikra? ninavyo jua pale hufundishwa kozi kama Marketing, Business planin, busniess grow, na kazalika, na si kwamba hizi kozi ndo ujasirimali, na hapa nin jina kwa sababu utaona wanao soma Business Admnistration au Business Managment vitu wanavyo soma ni hivyo hivyo wanavyo soma wanao soma full Intreneurship, Ki usahihi inatakiwa iwe Business study.
Shule ni JF. period :smile-big:Safi mkuu,
Tusaidie na maana ya mjasiriamali maana naona kama neno limetumika sana kisiasa............ MJASIRIAMALI NI NANI HASA?
Ni shida sana mkuu mambo ya "Are entrepreneurs Born or Made?"Mkuu..