Vituo vya watu wenye mahitaji maalum vinahitajika Mwanza

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
Wakuu Salaam

Naomba majina ya vituo vya watu wenye mahitaji maalum Mwanza, mfano watoto yatima, walemavu wa macho, miguu, maskio etc. Naomba majina na location na ikiwezekana nini wanahitaji au mtu anitumie contacts inbox. mimi nipo Dar kuna project itafanyika.
 
Morogoro kipo kituo kina wahitaji kwelilweli vipi nikuunganishe?
 
Wakuu Salaam

Naomba majina ya vituo vya watu wenye mahitaji maalum Mwanza, mfano watoto yatima, walemavu wa macho, miguu, maskio etc. Naomba majina na location na ikiwezekana nini wanahitaji au mtu anitumie contacts inbox. mimi nipo Dar kuna project itafanyika.
Ubarikiwe
 
Nilishawahi kukiona cha kuleana sijui bado kipo
 
Wakuu Salaam

Naomba majina ya vituo vya watu wenye mahitaji maalum Mwanza, mfano watoto yatima, walemavu wa macho, miguu, maskio etc. Naomba majina na location na ikiwezekana nini wanahitaji au mtu anitumie contacts inbox. mimi nipo Dar kuna project itafanyika.
french!

Ukiwa raia mwema mwenye nia nzuri.
Ungeanza kwanza wewe kwa kutoa utambulisho wako.

Unatakaje utambulisho wa victims wakati wewe umejificha ID yako huku JF.?

Jambo kama hili linataka Ukweli na Uwazi.

Usije kuta wewe ni Zumaridi mwingine!
 
Mkuu, nafikiri ni vema ukaainisha malengo au sababu za uhitaji huo ili iwe rahisi kupata ushirikiano, binafsi nipo mwanza, ninaweza nikatoa ushirikiano lakini angalau mtu ujue unatoa taarifa kwa malengo yapi isije kuwa ni malengo ovu halafu mtu akapata shida! Nasema hili kwa nia njema ya kujenga
 
Back
Top Bottom