UbarikiweWakuu Salaam
Naomba majina ya vituo vya watu wenye mahitaji maalum Mwanza, mfano watoto yatima, walemavu wa macho, miguu, maskio etc. Naomba majina na location na ikiwezekana nini wanahitaji au mtu anitumie contacts inbox. mimi nipo Dar kuna project itafanyika.
Amesema mwanza..elewa mada kabla hujachangia.Morogoro kipo kituo kina wahitaji kwelilweli vipi nikuunganishe?
mwanza mkuuMorogoro kipo kituo kina wahitaji kwelilweli vipi nikuunganishe?
french!Wakuu Salaam
Naomba majina ya vituo vya watu wenye mahitaji maalum Mwanza, mfano watoto yatima, walemavu wa macho, miguu, maskio etc. Naomba majina na location na ikiwezekana nini wanahitaji au mtu anitumie contacts inbox. mimi nipo Dar kuna project itafanyika.
kasema mwanza dah😄Morogoro kipo kituo kina wahitaji kwelilweli vipi nikuunganishe?