Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Hailipi mkuu.Chukua 3M
Weka pichaHailipi mkuu.
Ila nikushauri ongeza milioni 1 nikusogezee Raum namba C.
Tena hio namkazia mwenye nayo anapungua.
Uko mkoa gani?Hailipi mkuu.
Ila nikushauri ongeza milioni 1 nikusogezee Raum namba C.
Tena hio namkazia mwenye nayo anapungua.
Daah unafanya mzaha na pesa jamaa angu.
Nicheki 0744033555Weka picha
Picha imepigwa vibaya gari inaonekana imechoka choka
Nani achukue brevis 7m . Fanya 4m nikupe sahivi
Mkuu kibwengo.Nani achukue brevis 7m . Fanya 4m nikupe sahivi
Weka picha ya Raum boss wanguMkuu kibwengo.
Nilitegemea ungepiga simu kuweka hoja katika uzito zaidi.
Btw, 4mil nakupa Raum namba C
Brevis inashuka lakin sio kwa beio hio boss.
Karibu!
Na mm nasubiri picha hapaNicheki 0744033555
Nikutumie
Na mm nasubiri picha hapa
Picha zinagoma maboss zanguWeka picha ya Raum boss wangu
Na mm nasubiri picha hapa
Picha zinagoma maboss zanguWeka picha ya Raum boss wangu
Naitaka hii chumaCc 990.
Engine iko vizuri.
AC inafanya kazi.
Inafanya uber mpaka sasa.
Imetunzwa vizuri tu haina tatizo
Njoo na 5.6mil uchukue chombo
Mbezi Dar es salaam: 0744033555
View attachment 1692235View attachment 1692236View attachment 1692239View attachment 1692240