inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Inafika Dar jinsi ilivyo au mpaka matengenezoMazungumzo yapo,gari inauzwa
1.Engune 1SZ FE
2.Cc 990
3.Milango 5
4.Inqfaa kwa mswqki,engine ina kipengele.
5.Bodi ina vipengele vidogo vidogo
6.Bei Mil 2,mazungumzo yapo.Tanzania ni yetu wote.
7.Gari ipo Ifakara
8.Nicheki dm.
Gari Bado ipoVitz old model inauzwa
1. Milango 5
2. Cc990
3. 1SZ FE engine
4. Haina deni, bima imelipwa
5. Engine ina kipengele, inarekebishika au inafaa kwa mswaki. Mimi nna gari nyingine
6. Bodi zima.
Picha imewekwa apo, for serious business nicheki inbox
View attachment 3050805View attachment 3050806View attachment 3050808
Mm siyo fundi nadhani inashida ya Coil au Nozeli.Maana kuna muda inamiss miss.Inafika Dar jinsi ilivyo au mpaka matengenezo
Bado ipoGari Bado ipo
Nadhani ina shida ya Nozeli au coil.Ukijibu swali la Kama inaweza kusogea hata hatua mbili uje PM tufanye biashara hzi ndiyo gari za kufanyia kampeni za udiwani hapa katani kwetu .