Whatsap 0744757738Nitumie picha inbox maana naona zote zime corrupt
HiiVitz engine ya IST
Gari kali sana
Rim sport
Inataka 3.9
Safari popote
Nipo nayo Kibaha
0744757738View attachment 2743230View attachment 2743231
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sawa, lakini kwa wengine labda itawafaaBei nzuri. Ila mnunuzi atalazimika kuipiga upya rangi! Na ikiwezekana awaombe pia TRA kubadili rangi nyingine. Hiyo ya sasa, hapana aisee.
Imeshauzwa sasa[emoji23]Yani vitz namba B tena rangi ya kijani unauza 3.9m? Ninyi ndo mnataka tuseme alaf mje hapa mseme tunawaharibia biashara. Madalali tatizo lao hawaangalii hata upepo wa soko. Hivi kweli leo tupo namba E wew unakuja na vitz namba B et unataka 3.9.
Kama umeuza kwa bei hyo basi umempata msukuma aliyeingia mjini na mbio za mwenge 😊😊
Mara nyingi mnacomment hamnaga mia, tunawajua, maneno kibao kumbe unaishi na dada ako kwa mume wakeKama umeuza kwa bei hyo basi umempata msukuma aliyeingia mjini na mbio za mwenge [emoji4][emoji4]
Level za vitznilishapita kitambo mdogo wangu. Alaf tafuta kazi ya kufanya udalali sio kaziMara nyingi mnacomment hamnaga mia, tunawajua, maneno kibao kumbe unaishi na dada ako kwa mume wake
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Aliyenunua kabla ya kupigia misele mtaani, aende kwanza TRA akabadilishe rangi ya gari aisee!! Iwe hata nyeusi au silver. Baada ya hapo aipeleke kwa mafundi wenye akili, halafu waampigie ile rangi ya metallic!Hiyo rangi duh
Duh hii rangi hadi nimeogopaVitz engine ya IST
Gari kali sana
Rim sport
Inataka 3.9
Safari popote
Nipo nayo Kibaha
0744757738.
0744757738
View attachment 2743230View attachment 2743231
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hiyo rangi haivutii hata weziAliyenunua kabla ya kupigia misele mtaani, aende kwanza TRA akabadilishe rangi ya gari aisee!! Iwe hata nyeusi au silver. Baada ya hapo aipeleke kwa mafundi wenye akili, halafu waampigie ile rangi ya metallic!
Ila siyo kwa rangi hiyo.
Tuone gari yako kwanzaAliyenunua kabla ya kupigia misele mtaani, aende kwanza TRA akabadilishe rangi ya gari aisee!! Iwe hata nyeusi au silver. Baada ya hapo aipeleke kwa mafundi wenye akili, halafu waampigie ile rangi ya metallic!
Ila siyo kwa rangi hiyo.
Naona saivi mmekuja na ubunifu wa kupaka rangi za nyumba kwenye magariVitz engine ya IST
Gari kali sana
Rim sport
Inataka 3.9
Safari popote
Nipo nayo Kibaha
0744757738.
0744757738
View attachment 2743230View attachment 2743231
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Uione ili iweje ndugu dalali? Unafikiri jamii forums iko kwa ajili ya watu kutambishiana!!
Sema maskini mna maneno sana[emoji23]Uione ili iweje ndugu dalali? Unafikiri jamii forums iko kwa ajili ya watu kutambishiana!!
Wewe kubali tu hiyo gari ina rangi mbaya. Na mnunuzi kama anajitambua, basi ataibadilisha mapema sana.
Hakuna ulazima wa kuwahusisha maskin kiujumla