Car4Sale Vitz sokoni

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,486
Reaction score
51,156
ViTz na D, iko katika hali nzuri inauzwaaa.
Bei yake ni 8 million cash.
Inapatikana Dar,
kwa mawasiliano zaidi piga au sms 0755155782. Ukihitaji gari aina yoyote iliyo katika hali nzuri wasiliana nami.
 
Nilikuwa natafuta namba yako sana eti, sasa tangazo limeileta
 
piga hiyo waambie unamtafuta nani utanipataUOTE="luq12, post: 18103116, member: 329149"]Tuma yako bhasi[/QUOTE]
 
Gari Nzuri SANA natumai utapata mteja wa kweli na mwenye kuhitaji

OVA
 
kila lakheri katika kuuza hiyo gari me ninayo namba A ila bado iko nzima sana nimenunua gari zingine lakini ki vits sikiudhi ng'o mpk kinifie niuze chuma chakavu mjapani aligundua gari nzuri sana isiyokula wese
 
iko Vizuri sana ila ni katika kubadili tu,
kila lakheri katika kuuza hiyo gari me ninayo namba A ila bado iko nzima sana nimenunua gari zingine lakini ki vits sikiudhi ng'o mpk kinifie niuze chuma chakavu mjapani aligundua gari nzuri sana isiyokula wese
 
Sio kwa bei hiyo. Yan Vitz keshaitumia for two years and more afu bado anauza kwa bei ya kutoa Japan? Anauzia tamaa...
Maongezi lazima yapo mkuu au hiyo bei ni fixed

OVA
 
Gari Nzuri SANA natumai utapata mteja wa kweli na mwenye kuhitaji

OVA
Umeonaee! Mi ninacho namba B Nikikipiga mafuta full tank ya elfu 60 mpaka nasahau na ka kwangu siuzi Ng'ooo! Vitz noma
 
Umeonaee! Mi ninacho namba B Nikikipiga mafuta full tank ya elfu 60 mpaka nasahau na ka kwangu siuzi Ng'ooo! Vitz noma
MIMI leo nimeletewa namba A wanauza wanataka mln 4.2,kako vizuri sanAa

Ova
 
hiyo hela kwa wanaojua magali huwezi uza labda umshike mtu toka kanda ya ziwa huko,hiyo umependelewa sana umepewa mil6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…