Vitz / Starlet / March / Passo moja inahitajika budget 4M Cash

andycachy

Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
83
Reaction score
18
Wadau nahitaji gari moja kati ya hizo mwenye nayo na anauza kwa hiyo budget tufanye biashara
 
4m...utapata ila uandae phone book space ya mafundi.
 
Ongeza 1.5m nkupe yangu mkuuu Mlg 20,000. Tu
 
Mimi ninayo duet ya 2003 ni very economical..km unataka niPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…