Viumbe Donasari!

Shule na dini zilivyonidanganya, maswali 5 muhimu ya kujiuliza
 
Asante ngoja nami nifwatilie .....kuna siku kwenye youtube niliona wakipigana na nyani mkubwa kumwokoa dada mmoja sikuendelea kuangalia yalikwa yanatisha haswa kwa ukubwa wake
 
Asante ngoja nami nifwatilie .....kuna siku kwenye youtube niliona wakipigana na nyani mkubwa kumwokoa dada mmoja sikuendelea kuangalia yalikwa yanatisha haswa kwa ukubwa wake
Huwa wanayatengeneza kwenye movie ila hayana uhalisia
 
kuna kipindi Star Tv walikua wanwaonyesha yani wanatisha ni viumbe fulani wa maajabu...
ndio maana wanasema zamani hata watu walikua na uwezo wa maajabu na kufanya maajabu
Na pia watu wa kale walikuwa wakubwa sana na wenye miguvu sio kama sasa hivi.

Kadri siku zinavyoenda hata uhalisia wa zamani hutoweka
 
Hahahaa, kumbe mamba, kenge, kobe (kasa) nao ni wadudu?? ama kweli.
 
Kama yale ya kwenye dini... Huwa siyaelewi kabisa.
 
Ninachojua ni kuwa walikuwepo na skeleton moja ilipatikana Mtwala, Ila ilienda kuunganishwa uingereza na baadhi ya mifupa iliyopotea waliweka ya bandia, baada ya kuunganisha walipata umbo kubwa sana na limehifadhiwa kwenye jengo kwaajiri ya kumbu kumbu na utarii
 
Wewe una makusudi sana" Mtwara" umeandika "Mtwala" na "utalii"umeandika "utarii" !
Faiza Foxy kuna mtu viboko vyako vinamhusu hapa!
 
ndege inawezaje kwenda bila rubani kama sio kutudanganya ni nni?,unawezaje kuongea na mtu kwa kutumia simu? Kama haya yamewezekana basi kutambua dunia ilikuwa vp miaka milioni iliyopita sii jambo la kushangaza

Kuna mambo ambayo hayapatani na akili za kawaida ila yamefanyika na yanatendeka kwa hiyo hawa viumbe wako levo nyingine sana asee!!@
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…