Viumbe visivyoonekana vinavyojificha nyuma ya keyboard

Drjacka92

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
445
Reaction score
522
Salaam.

Unaweza kujiona upo peke yako kimwili ila kiroho mpo wengi kiasi chakujaa jumba flani kubwa.

Wakati naandika huu Uzi saa 01:23 usiku nilianza kutafakari Ukimya uliopo hapa mahali jumlisha Giza nene tena peke yangu, lakini najihisi nipo tuu sehemu Ya kawaida kutokana Na roho ninazoungana nazo Pamoja muda huu.

Kila mmoja mahali alipo lakini tunaendelea kuperuz mitandaoni bila kuonana, naamini Muda huu humu vipo viumbe vingi ambavyo sivioni ila kupitia Uzi wangu nitagundua kuwa vipo.

Karibuni viumbe wenzangu msioonekana.
 
Hayo ndiyo madhara ya kuvuta ba.n.g.i mbichi na mbegu zake
 
Mida hii unaweza kuta unachat na majini
 
viumbe wasioonekana nikajua labda unatupa somo la bacteria hv au majini
 
Emu rudia kusoma ulichoposti..na ujiulize ingekuwa ni msomaji kama mimi ungemfikiriaje mleta mada..rubbish kabisa
 
Salaam.

Unaweza kujiona upo peke yako kimwili ila kiroho mpo wengi kiasi chakujaa jumba flani kubwa.

Wakati naandika huu Uzi saa 01:23 usiku nilianza kutafakari Ukimya uliopo hapa mahali jumlisha Giza nene tena peke yangu, lakini najihisi nipo tuu sehemu Ya kawaida kutokana Na roho ninazoungana nazo Pamoja muda huu.

Kila mmoja mahali alipo lakini tunaendelea kuperuz mitandaoni bila kuonana, naamini Muda huu humu vipo viumbe vingi ambavyo sivioni ila kupitia Uzi wangu nitagundua kuwa vipo.

Karibuni viumbe wenzangu msioonekana.
Umewaza kiroho zaidi.. Na ndio hali halisi tuliyonayo
 
Watu hawalali kabisa, ni full social media.
 
Back
Top Bottom