Salaam.
Unaweza kujiona upo peke yako kimwili ila kiroho mpo wengi kiasi chakujaa jumba flani kubwa.
Wakati naandika huu Uzi saa 01:23 usiku nilianza kutafakari Ukimya uliopo hapa mahali jumlisha Giza nene tena peke yangu, lakini najihisi nipo tuu sehemu Ya kawaida kutokana Na roho ninazoungana nazo Pamoja muda huu.
Kila mmoja mahali alipo lakini tunaendelea kuperuz mitandaoni bila kuonana, naamini Muda huu humu vipo viumbe vingi ambavyo sivioni ila kupitia Uzi wangu nitagundua kuwa vipo.
Karibuni viumbe wenzangu msioonekana.