Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tunashukuru sana bujibuji huwa tunafanya yote haya ... baadhi huwa hawaelewi eti..hata uwabebe mgongoni na kuwaogesha
Waweza kumuogesha, lakini kama ni kumbeba mgongoni unamaana kuwa nao wawe potable?
Tunashukuru sana bujibuji huwa tunafanya yote haya ... baadhi huwa hawaelewi eti..hata uwabebe mgongoni na kuwaogesha
Tunashukuru sana bujibuji huwa tunafanya yote haya ... baadhi huwa hawaelewi eti..hata uwabebe mgongoni na kuwaogesha
LABDA ULlMUAHIDI KUWA UNAYAWEZA MAPENZI YA KITANGA YA KUBEBANA MGONGONI.
USIAHIDI USICHOKIWEZA KUKITEKELEZA.
mi nilijaribu yoote hayo uliyoyataja lakini niliambulia ambayo sikuyatarajia, wanaume ni viumbe wa ajabu sana! Lakini asante kwa kumbukumbu hii, maana naweza kuitumia kwa miaka ijayo mungu akipenda!
kweli ni viumbe wa ajabu - unaweza jitahidi kufanya yote hayo mwenzio ataona ni KERO - nadhani the best way ni kuona anapenda hizo treatments? kama ni mfanya biashara tajiri asiyelala masaa mengi - du! ataona unampotezea muda - (just imagining loudly)
Mi nilijaribu yoote hayo uliyoyataja lakini niliambulia ambayo sikuyatarajia, wanaume ni viumbe wa ajabu sana! Lakini asante kwa kumbukumbu hii, maana naweza kuitumia kwa miaka ijayo mungu akipenda!
Katika hali ya kawaida, mtu akikutenda jambo zuri hurejeshewa zuri pia. hivo kauri hii sio sahii ya kwamba hawabebeki. Your not innovators, mnafanya bila kumaanisha, mnafanya kama mazoea. 'watch out'
kwani wakitendewa haya wanona? kiumbe huyu wa ajabu anaeitwa mwanaume huwa haridhiki!
Mi nilijaribu yoote hayo uliyoyataja lakini niliambulia ambayo sikuyatarajia, wanaume ni viumbe wa ajabu sana! Lakini asante kwa kumbukumbu hii, maana naweza kuitumia kwa miaka ijayo mungu akipenda!
Mi nilijaribu yoote hayo uliyoyataja lakini niliambulia ambayo sikuyatarajia, wanaume ni viumbe wa ajabu sana! Lakini asante kwa kumbukumbu hii, maana naweza kuitumia kwa miaka ijayo mungu akipenda!
Ladies please handle them with care.
Wapendeni, watiini, wafanyeni waonekane spesho.
Muonyeshe mwanaome wako jinsi unavyomuonea fahari.
Mjulishe kuwa wewe ni mwanamke mwenye bahati kwa kumpata mwanaume wako.
Usimuexpose kwa wenzako watakuibia.