Viungo gani vinafanya mishikaki inukie?

Viungo gani vinafanya mishikaki inukie?

henry normal

Senior Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
120
Reaction score
31
Katka maPishi ya mishika kunaarufu Fulani ambayo ni mvuto kwa wateja. Je ni viungo Gani uleta LADHA NA MNUKIO PINDI UNACHOMA MISHIKAKI
 
tangawizi, kitunguu thomu, bizari nyembamba na uzile inaleta harufu nzuri
 
Kwanza utaandaa nyama yako ktk chombo kisha uta changanya ndimu au limao; chumvi; tangawiz; kitunguu thaum;pilipili mtama(unga ) na binzari nyembamba kisha uache mchanganyiko wako kama nusu saa kisha tayari kwa kuoka
 
Umesahau karafuu maiti
 
Tangawizi thomu uzile ndimu tandoori masala
 
Waenda kwa waganga utawajua tu.. ... . haya ongeza sanda nyeusi , mbaazi poli na mfinyafinya
 
Jamani hiyo UZILE ndio kiungo cha namna gani? Maana kila kikiuliziwa huku hakifahamiki.. Msaada wataalamu wa viungo hivi samua Ashmina

Cummin kwa lugha ya wenzetu
IMG_6977.JPG
 
Unatasaga kitunguu saumu,tangawizi pili pili mbichi utachanganya na nyama tia uzile wa unga mdalasini wa unga bizare funika wacha hvyo kwa dakika kadhaa.
 
Kwanza utaandaa nyama yako ktk chombo kisha uta changanya ndimu au limao; chumvi; tangawiz; kitunguu thaum;pilipili mtama(unga ) na binzari nyembamba kisha uache mchanganyiko wako kama nusu saa kisha tayari kwa kuoka
Kumbe
 
Back
Top Bottom